Habari za uhakika na za kuaminika, vipindi vya mafunzo, Burudani na za kuhamasisha bila kusahau mijadala ya kujenga Jamii na taifa.
92.9 FM - Nairobi na viunga vyake, Central, South Rift Valley na Eastern provinces | 90.4 FM - Meru, Isiolo na Laikipia | 88.6 FM - Nyanza, Western na Central Rift Valley | 100.8 FM - Mombasa na Viunga vyake | 87.7 FM - Nyeri na maeneo ya Mlima Kenya, pia Mashariki mwa Kenya | 104.1 FM - Nakuru na viunga vyake | 103.3 FM - Kisii na viunga vyake | 90.1 FM - Malindi na viunga vyake | 93.3 FM - Kapenguria, Kacheliba, Kitale, Eldoret, Kabarnet na Marakwet | 104.5 FM - Magharibi na Nyanza Hadi Mashariki mwa Uganda | 96.9 FM - Voi, Taveta, Wundanyi, Loitokitok, Mtito Andei, Machinery, Kilifi na Kibwezi | 89.9 FM - Namanga na Kaskazini mwa Tanzania | 88.6 FM - Lodwar na viunga vyake | 89.3 FM - Lokichoggio na viunga vyake | 93.1 FM - Garsen, Hola, Witu, Mpeketoni, Lamu, Manda Island, Mokowe, Faza Island Gongoni. | 92.9 FM - Naivasha, Mai mahiu, Suswa, Mau Narok, Gilgil na Ol Kalou